Buy Credits Pack

You don’t have enough credits to complete this request.As a subscription member, you can buy one-time lifetime credits that never expire—no subscription and no auto-renewal. Use them anytime to create songs, instrumentals, or music content.

Upgrade to Annual

Get access to our most advanced AI model and create music for commercial use

What You'll Get with Annual
V3 Model Access on Every Generation Our latest and most advanced AI music generator with superior quality
Commercial License Included Use your AI-generated music for monetization, ads, and business projects
Annual-Only Perks Unlimited WAV downloads, exclusive MP4 lyric video creation, unlimited lyric generation, Audio-to-MIDI exports, and more annual-only benefits.
Save Over 50% vs. Monthly Best value plan with significant savings compared to month-to-month billing
Choose Your Annual Plan
💰 Remaining monthly fee will be deducted at checkout.

Babaaaa

Song generated By ✨ AIMusicGen.net

B
Change Cover

Babaaaa

@ Mitano
2025-11-18 13:56:20
Edit Track
Download & License
⬇️ Download MP3
⬇️ Download WAV
📝 Download Synced Lyrics

📝 Lyrics

tunaikukbuka tarehe kumi na moja machi,siku ambayo kifo kilikubeba baba yetu mzee john , hali ya kuwa tunakuitaji sana babaa yetu. devidi na lenadi wanashindwa kunyamaza baa, kila wakikukumbuka machozi hayaishi machoni pao, madevi mama yetu anatufariji kwa maombi, na kutuma imani baaaaa, mwivei na rehema tumeshindwa kuwanyamazisha babaa, oooh baba mzee john ,ooooh baba mzee john oooh baba yetu mzee john. tunakushukuru sana babaaa kwa mama bora alitufariji ajawai kutuacha oooh madevi mama, tunakukumbuka sana baaba yetu luti na lidia wanakuombea sana babaaa oooh mzee john hatutakuusahau baba,hatutakusahauu babaa oooh mzee john mtumishi sitivin anakukumbuka sana anajivunia upendo wako mzee john. aaaaaaaaah mzee john mwanao emanuel nayakumbuka maneno yako kwamba tuishi kwa upendo na kila mtu, natamani baba yangu ungeishuhudia ndoa yangu babaaaa, oooh oooh mzee john. uliyo yaacha tunayaendeleza babaa ulitusihi tuishi kwa kupendaana kama familia, maneno yako tunayakumbuka na tutayaishi siku zote oooh mzee john rafiki yetu baba yetu,tumebaki na picha pamoja na jna lako oooh baba yetu mapenzi ya mungu yatimizweeeee oooo baba yetu hatutakusaaau baaaa ooo baba yetu mama yetu anatukumbusha sana jinsi ulivyo wapenda hata waliokuchukia, baba puumzika kwa amani ile siku hatutaisahau bbaa yetu tulitamani tufanye kila kitu kwa ajili yako babaa yetu , lakini mungu alikuita baba yetu oooh oooh mzee john tumemisi mausia yako pamoja na cheko lako, ooo bababa, mapenzi yako kwetu pamoja na upendo wako ooooh baaba. wanao tunaimba hatutakusahau baaba ooo baba yetu,hatutakusahau kamwe mzee john ooooh baba yetu tutaishi na mausia yako babaaa, ooobaba yetu mzee john pumzika nkwa amani baba aaaaamina aaaamina baba aaa mina baba pumzikankwa amani pumzika nkwa amani baba aaaaamina aaaamina baba aaa mina baba pumzikankwa amani pumzika nkwa amani baba aaaaamina aaaamina baba aaa mina baba pumzikankwa amani aaaminaaa aaaaaminaaa baba aaaaminaaa aminaa aaaaminaa Baba tunakukumbuka na tutakukumbuka baba yetu Mzee john

🎨 Style of Music

Pop Relaxing Male Vocals Medium

License Information

📷 Upload Custom Cover

Click to upload or drag & drop

JPG, PNG, GIF or WebP (Max 5MB)

Preview